×

Anawaahidi na anawatia tamaa. Na Shet'ani hawaahidi ila udanganyifu 4:120 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nisa’ ⮕ (4:120) ayat 120 in Swahili

4:120 Surah An-Nisa’ ayat 120 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 120 - النِّسَاء - Page - Juz 5

﴿يَعِدُهُمۡ وَيُمَنِّيهِمۡۖ وَمَا يَعِدُهُمُ ٱلشَّيۡطَٰنُ إِلَّا غُرُورًا ﴾
[النِّسَاء: 120]

Anawaahidi na anawatia tamaa. Na Shet'ani hawaahidi ila udanganyifu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: يعدهم ويمنيهم وما يعدهم الشيطان إلا غرورا, باللغة السواحيلية

﴿يعدهم ويمنيهم وما يعدهم الشيطان إلا غرورا﴾ [النِّسَاء: 120]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Shetani anawaahidi wafuasi wake ahadi za urongo na anawavutia kwa matamanio ya urongo yenye udanganyifu; ahadi zake kwao hazikuwa isipokuwa ni udanganyifu usio na ukweli wala dalili
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek