×

MWENYEZI MUNGU hapendi uovu uenezwe kwa maneno ila kwa mwenye kudhulumiwa. Na 4:148 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nisa’ ⮕ (4:148) ayat 148 in Swahili

4:148 Surah An-Nisa’ ayat 148 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 148 - النِّسَاء - Page - Juz 6

﴿۞ لَّا يُحِبُّ ٱللَّهُ ٱلۡجَهۡرَ بِٱلسُّوٓءِ مِنَ ٱلۡقَوۡلِ إِلَّا مَن ظُلِمَۚ وَكَانَ ٱللَّهُ سَمِيعًا عَلِيمًا ﴾
[النِّسَاء: 148]

MWENYEZI MUNGU hapendi uovu uenezwe kwa maneno ila kwa mwenye kudhulumiwa. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kusikia na Mwenye kujua

❮ Previous Next ❯

ترجمة: لا يحب الله الجهر بالسوء من القول إلا من ظلم وكان الله, باللغة السواحيلية

﴿لا يحب الله الجهر بالسوء من القول إلا من ظلم وكان الله﴾ [النِّسَاء: 148]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hapendi Mwenyezi Mungu kwa yoyote adhihirishe neno ovu. Lakini yaruhusiwa kwa aliyedhulumiwa amtaje aliyemdhulumu kwa uovu alionao, ili akibainishe alichodhulumiwa nacho. Na daima Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyasikia mnayoyadhihirisha na ni Mwenye kuyajua mnayoyaficha kati ya hayo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek