×

Mkidhihirisha wema au mkiuficha, au mkiyasamehe maovu, hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi 4:149 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nisa’ ⮕ (4:149) ayat 149 in Swahili

4:149 Surah An-Nisa’ ayat 149 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 149 - النِّسَاء - Page - Juz 6

﴿إِن تُبۡدُواْ خَيۡرًا أَوۡ تُخۡفُوهُ أَوۡ تَعۡفُواْ عَن سُوٓءٖ فَإِنَّ ٱللَّهَ كَانَ عَفُوّٗا قَدِيرًا ﴾
[النِّسَاء: 149]

Mkidhihirisha wema au mkiuficha, au mkiyasamehe maovu, hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa maghfira na Muweza

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إن تبدوا خيرا أو تخفوه أو تعفوا عن سوء فإن الله كان, باللغة السواحيلية

﴿إن تبدوا خيرا أو تخفوه أو تعفوا عن سوء فإن الله كان﴾ [النِّسَاء: 149]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Amehimiza Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, kwamba watu wasamehe, na Akaweka msingi wa jambo hilo kwa kuwa Muumini, ima aidhihirishe kheri au aifiche. Na vilevile katika kukosewa, ima adhihirishe kuwa amekosewa katika hali ya kutafuta haki yake kwa aliyemkosea au asamehe na apuuze. Na kusamehe ni bora. Kwani miongoni mwa sifa za Mwenyezi Mungu ni kuwasamehe waja Wake pamoja na uwezo Wake juu yao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek