Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 158 - النِّسَاء - Page - Juz 6
﴿بَل رَّفَعَهُ ٱللَّهُ إِلَيۡهِۚ وَكَانَ ٱللَّهُ عَزِيزًا حَكِيمٗا ﴾
[النِّسَاء: 158]
﴿بل رفعه الله إليه وكان الله عزيزا حكيما﴾ [النِّسَاء: 158]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Bali Mwenyezi Mungu Alimpaisha ‘Īsā kwa mwili wake na roho yake akiwa hai na Alimuokoa na wale waliokufuru. Na Mwenyezi Mungu ni Mshindi katika ufalme Wake, ni Mwingi wa hekima katika uendeshaji mambo Wake na mapitisho Yake |