×

Wala msiwaoe wake walio waoa baba zenu, ila yaliyo kwisha pita. Hakika 4:22 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nisa’ ⮕ (4:22) ayat 22 in Swahili

4:22 Surah An-Nisa’ ayat 22 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 22 - النِّسَاء - Page - Juz 4

﴿وَلَا تَنكِحُواْ مَا نَكَحَ ءَابَآؤُكُم مِّنَ ٱلنِّسَآءِ إِلَّا مَا قَدۡ سَلَفَۚ إِنَّهُۥ كَانَ فَٰحِشَةٗ وَمَقۡتٗا وَسَآءَ سَبِيلًا ﴾
[النِّسَاء: 22]

Wala msiwaoe wake walio waoa baba zenu, ila yaliyo kwisha pita. Hakika huo ni uchafu na uchukizo na ni njia mbaya

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولا تنكحوا ما نكح آباؤكم من النساء إلا ما قد سلف إنه, باللغة السواحيلية

﴿ولا تنكحوا ما نكح آباؤكم من النساء إلا ما قد سلف إنه﴾ [النِّسَاء: 22]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Wala msiwaoe wanawake walioolewa na baba zenu, isipokuwa yaliyopita mliyoyafanya katika zama za jahiliyyah (kabla ya Uislamu). Hayo hamtalipwa kwayo. Hakika ndoa ya watoto kuwaoa waliokuwa wake wa baba zao ni jambo baya lenye upeo wa ubaya, na ni jambo lenye kuchukiza ambalo Mwenyezi Mungu Anamchukia mwenye kulifanya. Na ubaya wa njia na mwenendo ni huo mliokuwa mkiufanya zama za ujinga wenu( kabla ya Uislamu)
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek