×

Na mwenye kutenda hayo kwa uadui na udhaalimu, basi huyo tutamwingiza Motoni. 4:30 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nisa’ ⮕ (4:30) ayat 30 in Swahili

4:30 Surah An-Nisa’ ayat 30 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 30 - النِّسَاء - Page - Juz 5

﴿وَمَن يَفۡعَلۡ ذَٰلِكَ عُدۡوَٰنٗا وَظُلۡمٗا فَسَوۡفَ نُصۡلِيهِ نَارٗاۚ وَكَانَ ذَٰلِكَ عَلَى ٱللَّهِ يَسِيرًا ﴾
[النِّسَاء: 30]

Na mwenye kutenda hayo kwa uadui na udhaalimu, basi huyo tutamwingiza Motoni. Na hilo ni jepesi kwa Mwenyezi Mungu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ومن يفعل ذلك عدوانا وظلما فسوف نصليه نارا وكان ذلك على الله, باللغة السواحيلية

﴿ومن يفعل ذلك عدوانا وظلما فسوف نصليه نارا وكان ذلك على الله﴾ [النِّسَاء: 30]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Mwenye kutenda Aliyoyakataza Mwenyezi Mungu ya kuchukua mali ya haramu, kama kuiba, kunyang’anya na kudanganya, kwa dhuluma na kukiuka mipaka ya Sheria, Mwenyezi Mungu Atamuingiza kwenye Moto alionje joto lake. Na hilo kwa Mwenyezi Mungu ni jepesi
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek