×

Na wanapo ambiwa: Njooni kwenye yale aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, na njooni 4:61 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nisa’ ⮕ (4:61) ayat 61 in Swahili

4:61 Surah An-Nisa’ ayat 61 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 61 - النِّسَاء - Page - Juz 5

﴿وَإِذَا قِيلَ لَهُمۡ تَعَالَوۡاْ إِلَىٰ مَآ أَنزَلَ ٱللَّهُ وَإِلَى ٱلرَّسُولِ رَأَيۡتَ ٱلۡمُنَٰفِقِينَ يَصُدُّونَ عَنكَ صُدُودٗا ﴾
[النِّسَاء: 61]

Na wanapo ambiwa: Njooni kwenye yale aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, na njooni kwa Mtume; utawaona wanaafiki wanakukwepa kwa upinzani

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وإذا قيل لهم تعالوا إلى ما أنـزل الله وإلى الرسول رأيت المنافقين, باللغة السواحيلية

﴿وإذا قيل لهم تعالوا إلى ما أنـزل الله وإلى الرسول رأيت المنافقين﴾ [النِّسَاء: 61]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na hawa wanaponasihiwa na kuambiwa, «Njooni kwenye yale yaliyoateremshwa na Mwenyezi Mungu na kwa Mtume na uongofu wake», utawaona wale wenye kudhihirisha Imani na kuficha ukafiri, wanakugeuka na kukupa mgongo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek