Quran with Swahili translation - Surah Ghafir ayat 17 - غَافِر - Page - Juz 24
﴿ٱلۡيَوۡمَ تُجۡزَىٰ كُلُّ نَفۡسِۭ بِمَا كَسَبَتۡۚ لَا ظُلۡمَ ٱلۡيَوۡمَۚ إِنَّ ٱللَّهَ سَرِيعُ ٱلۡحِسَابِ ﴾
[غَافِر: 17]
﴿اليوم تجزى كل نفس بما كسبت لا ظلم اليوم إن الله سريع﴾ [غَافِر: 17]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Leo italipwa kila nafsi kwa kile ilichokitenda duniani, chema au kiovu; hakuna maonevu leo kufanyiwa yoyote, ya kuongezewa dhambi zake au kupunguziwa thawabu zake. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwpesi wa kuhesabu, basi msiione Siku hiyo ni yenye kuchelewa kufika, kwani iko karibu |