×

Hawazibishi Ishara za Mwenyezi Mungu ila walio kufuru; basi kusikughuri wewe kutanga 40:4 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ghafir ⮕ (40:4) ayat 4 in Swahili

40:4 Surah Ghafir ayat 4 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ghafir ayat 4 - غَافِر - Page - Juz 24

﴿مَا يُجَٰدِلُ فِيٓ ءَايَٰتِ ٱللَّهِ إِلَّا ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ فَلَا يَغۡرُرۡكَ تَقَلُّبُهُمۡ فِي ٱلۡبِلَٰدِ ﴾
[غَافِر: 4]

Hawazibishi Ishara za Mwenyezi Mungu ila walio kufuru; basi kusikughuri wewe kutanga tanga kwao katika nchi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ما يجادل في آيات الله إلا الذين كفروا فلا يغررك تقلبهم في, باللغة السواحيلية

﴿ما يجادل في آيات الله إلا الذين كفروا فلا يغررك تقلبهم في﴾ [غَافِر: 4]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakuna anayeteta kuhusu aya za Mwenyezi Mungu na dalili Zake za kutolea ushahidi umoja wa Mwenyezi Mungu, akawa anazikabili kwa ubatilifu isipokuwa wapinzani wenye kukataa kuwa Yeye Ndiye Mola wa kweli Anayestahiki kuabudiwa Peke Yake. Basi kusikudanganye wewe kule kutanga kwao mijini kwa aina mbalimbali za biashara, shughuli za kuchuma, starehe za ulimwenguni na uzuri wake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek