Quran with Swahili translation - Surah Ghafir ayat 45 - غَافِر - Page - Juz 24
﴿فَوَقَىٰهُ ٱللَّهُ سَيِّـَٔاتِ مَا مَكَرُواْۖ وَحَاقَ بِـَٔالِ فِرۡعَوۡنَ سُوٓءُ ٱلۡعَذَابِ ﴾
[غَافِر: 45]
﴿فوقاه الله سيئات ما مكروا وحاق بآل فرعون سوء العذاب﴾ [غَافِر: 45]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi Mwenyezi Mungu, Aliyetakasika, Akamuokoa mtu huyo aliyeamini na mateso ya vitimbi vya Fir’awn na jamaa zake, na ikawashukia wao adhabu mbaya, kwa kuwa Mwenyezi Mungu Aliwazamisha wote mpaka wa mwisho wao |