Quran with Swahili translation - Surah Ghafir ayat 63 - غَافِر - Page - Juz 24
﴿كَذَٰلِكَ يُؤۡفَكُ ٱلَّذِينَ كَانُواْ بِـَٔايَٰتِ ٱللَّهِ يَجۡحَدُونَ ﴾
[غَافِر: 63]
﴿كذلك يؤفك الذين كانوا بآيات الله يجحدون﴾ [غَافِر: 63]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kama mlivyoikanusha haki, enyi makafiri wa Kikureshi, na mkaipa mgongo na mkaenda kwenye ubatilifu, hivyo ndivyo wanavyopotoshwa na haki na kuiamini wale waliokuwa wakizikanusha hoja za Mwenyezi Mungu na dalili Zake |