×

Na waepushe na maovu; kwani umwepushaye maovu siku hiyo, hakika umemrehemu; na 40:9 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ghafir ⮕ (40:9) ayat 9 in Swahili

40:9 Surah Ghafir ayat 9 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ghafir ayat 9 - غَافِر - Page - Juz 24

﴿وَقِهِمُ ٱلسَّيِّـَٔاتِۚ وَمَن تَقِ ٱلسَّيِّـَٔاتِ يَوۡمَئِذٖ فَقَدۡ رَحِمۡتَهُۥۚ وَذَٰلِكَ هُوَ ٱلۡفَوۡزُ ٱلۡعَظِيمُ ﴾
[غَافِر: 9]

Na waepushe na maovu; kwani umwepushaye maovu siku hiyo, hakika umemrehemu; na huko ndiko kufuzu kukubwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وقهم السيئات ومن تق السيئات يومئذ فقد رحمته وذلك هو الفوز العظيم, باللغة السواحيلية

﴿وقهم السيئات ومن تق السيئات يومئذ فقد رحمته وذلك هو الفوز العظيم﴾ [غَافِر: 9]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
«Na uwaepushie mwisho mbaya wa dhambi zao, usiwaadhibu kwa dhambi hizo. Na yoyote yule utakayemuepushia maovu Siku ya kuhesabiwa, huyo umeshamrehemu na umempa neema ya kuokolewa na adhabu yako. Na huko ndiko kufaulu kukubwa ambako hakuna kufaulu kupita huko.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek