×

Anaye tenda mema basi anajitendea mwenyewe nafsi yake, na mwenye kutenda uovu 41:46 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Fussilat ⮕ (41:46) ayat 46 in Swahili

41:46 Surah Fussilat ayat 46 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Fussilat ayat 46 - فُصِّلَت - Page - Juz 24

﴿مَّنۡ عَمِلَ صَٰلِحٗا فَلِنَفۡسِهِۦۖ وَمَنۡ أَسَآءَ فَعَلَيۡهَاۗ وَمَا رَبُّكَ بِظَلَّٰمٖ لِّلۡعَبِيدِ ﴾
[فُصِّلَت: 46]

Anaye tenda mema basi anajitendea mwenyewe nafsi yake, na mwenye kutenda uovu basi ni juu ya nafsi yake vile vile; wala Mola wako Mlezi si mwenye kuwadhulumu waja

❮ Previous Next ❯

ترجمة: من عمل صالحا فلنفسه ومن أساء فعليها وما ربك بظلام للعبيد, باللغة السواحيلية

﴿من عمل صالحا فلنفسه ومن أساء فعليها وما ربك بظلام للعبيد﴾ [فُصِّلَت: 46]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mwenye kufanya mema, akamtii mwenyezi Mungu na Mtume Wake, atajipatia mwenyewe thawabu za matendo yake. Na mwenye kumuasi Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, atajionea mwenyewe dhambi za matendo yake. Na Mola wako si Mwenye kuwadhulumu waja kwa kuwapunguzia japo thawabu ya jema moja au kuwaongezea japo dhambi la ovu moja
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek