Quran with Swahili translation - Surah Fussilat ayat 8 - فُصِّلَت - Page - Juz 24
﴿إِنَّ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ لَهُمۡ أَجۡرٌ غَيۡرُ مَمۡنُونٖ ﴾
[فُصِّلَت: 8]
﴿إن الذين آمنوا وعملوا الصالحات لهم أجر غير ممنون﴾ [فُصِّلَت: 8]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika ya wale wanaomuamini Mwenyezi Mungu, Mtume Wake na Kitabu Chake na wakafanya matendo mema, hali ya kumtakasia Mwenyezi Mungu katika matendo hayo, watapata malipo makubwa yasiyokatika wala kuzuiliwa |