Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shura ayat 31 - الشُّوري - Page - Juz 25
﴿وَمَآ أَنتُم بِمُعۡجِزِينَ فِي ٱلۡأَرۡضِۖ وَمَا لَكُم مِّن دُونِ ٱللَّهِ مِن وَلِيّٖ وَلَا نَصِيرٖ ﴾
[الشُّوري: 31]
﴿وما أنتم بمعجزين في الأرض وما لكم من دون الله من ولي﴾ [الشُّوري: 31]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hamkuwa, enyi watu, ni wenye kushindana na uweza wa Mwenyezi Mungu juu yenu wala kuuhepa. Na hamna nyinyi asiyekuwa Mwenyezi Mungu Mtegemewa wa kusimamia mambo yenu na kuwapa manufaa wala msaidizi wa kuwatetea msipatikane na madhara |