×

Au huwachanganya wanaume na wanawake, na akamfanya amtakaye tasa. Hakika Yeye ni 42:50 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ash-Shura ⮕ (42:50) ayat 50 in Swahili

42:50 Surah Ash-Shura ayat 50 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shura ayat 50 - الشُّوري - Page - Juz 25

﴿أَوۡ يُزَوِّجُهُمۡ ذُكۡرَانٗا وَإِنَٰثٗاۖ وَيَجۡعَلُ مَن يَشَآءُ عَقِيمًاۚ إِنَّهُۥ عَلِيمٞ قَدِيرٞ ﴾
[الشُّوري: 50]

Au huwachanganya wanaume na wanawake, na akamfanya amtakaye tasa. Hakika Yeye ni Mjuzi Mwenye uweza

❮ Previous Next ❯

ترجمة: أو يزوجهم ذكرانا وإناثا ويجعل من يشاء عقيما إنه عليم قدير, باللغة السواحيلية

﴿أو يزوجهم ذكرانا وإناثا ويجعل من يشاء عقيما إنه عليم قدير﴾ [الشُّوري: 50]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Anampa, Anayetakasika na kutukuka, Anayemtaka miongoni mwa watu wanaume na wanawake. Na Anamfanya Anayemtaka kuwa tasa asiyezaa. Hakika Yeye ni Mjuzi sana wa Anachoumba, ni Muweza sana kuumba Anachotaka, hakuna chochote kinachomshinda Akitaka kukiumba
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek