Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shura ayat 49 - الشُّوري - Page - Juz 25
﴿لِّلَّهِ مُلۡكُ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِۚ يَخۡلُقُ مَا يَشَآءُۚ يَهَبُ لِمَن يَشَآءُ إِنَٰثٗا وَيَهَبُ لِمَن يَشَآءُ ٱلذُّكُورَ ﴾
[الشُّوري: 49]
﴿لله ملك السموات والأرض يخلق ما يشاء يهب لمن يشاء إناثا ويهب﴾ [الشُّوري: 49]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ni ya Mwenyezi Mungu mamlaka ya mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake. Anaumba viumbe anavyovitaka. Anamtunuku Anayemtaka miongoni mwa waja Wake wanawake bila kuwa na wanaume pamoja nao, na Anamtunuku Anayemtaka wanaume bila kuwa na wanawake pamoja nao |