Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 18 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿أَوَمَن يُنَشَّؤُاْ فِي ٱلۡحِلۡيَةِ وَهُوَ فِي ٱلۡخِصَامِ غَيۡرُ مُبِينٖ ﴾
[الزُّخرُف: 18]
﴿أو من ينشأ في الحلية وهو في الخصام غير مبين﴾ [الزُّخرُف: 18]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je, mnajasiri na kumnasibishia Mwenyezi Mungu mtu anayelelewa katika pambo asiyeweza kutasua hoja kwenye mjadala kwa sababu ya kukulia kwake kwenye pambo na starehe |