Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 26 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿وَإِذۡ قَالَ إِبۡرَٰهِيمُ لِأَبِيهِ وَقَوۡمِهِۦٓ إِنَّنِي بَرَآءٞ مِّمَّا تَعۡبُدُونَ ﴾ 
[الزُّخرُف: 26]
﴿وإذ قال إبراهيم لأبيه وقومه إنني براء مما تعبدون﴾ [الزُّخرُف: 26]
| Abdullah Muhammad Abu Bakr Kumbuka, ewe Mtume, pindi aliposema Ibrāhīm alipomwambia baba yake na watu wake waliokuwa wakiabudu vitu ambavyo watu wako , ewe mtume, wanaviabudu, ”Hakika mimi nimejiepusha na vile mnavyoviabudu badala ya Mwenyezi Mungu  |