×

Basi tukawalipizia. Angalia ulikuwaje mwisho wa walio kadhibisha 43:25 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Az-Zukhruf ⮕ (43:25) ayat 25 in Swahili

43:25 Surah Az-Zukhruf ayat 25 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 25 - الزُّخرُف - Page - Juz 25

﴿فَٱنتَقَمۡنَا مِنۡهُمۡۖ فَٱنظُرۡ كَيۡفَ كَانَ عَٰقِبَةُ ٱلۡمُكَذِّبِينَ ﴾
[الزُّخرُف: 25]

Basi tukawalipizia. Angalia ulikuwaje mwisho wa walio kadhibisha

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فانتقمنا منهم فانظر كيف كان عاقبة المكذبين, باللغة السواحيلية

﴿فانتقمنا منهم فانظر كيف كان عاقبة المكذبين﴾ [الزُّخرُف: 25]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Basi tukawalipiza hao ummah waliowakanusha Mitume wao kwa kuwateremshia mateso ya kuwadidimiza, kuwazamisha na mengineyo. Basi angalia, ulikuwa vipi mwisho wa mambo yao walipozikanusha hoja za Mwenyezi Mungu na Mtume wake? Basi na wajihadhari watu wako wasiendelee kwenye ukanushaji wao ili yasiwapate wao yale yaliyowapata wale
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek