×

Na wakasema: Ewe mchawi! Tuombee kwa Mola wako Mlezi kwa ile ahadi 43:49 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Az-Zukhruf ⮕ (43:49) ayat 49 in Swahili

43:49 Surah Az-Zukhruf ayat 49 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 49 - الزُّخرُف - Page - Juz 25

﴿وَقَالُواْ يَٰٓأَيُّهَ ٱلسَّاحِرُ ٱدۡعُ لَنَا رَبَّكَ بِمَا عَهِدَ عِندَكَ إِنَّنَا لَمُهۡتَدُونَ ﴾
[الزُّخرُف: 49]

Na wakasema: Ewe mchawi! Tuombee kwa Mola wako Mlezi kwa ile ahadi aliyo kuahidi; hakika sisi tutakuwa wenye kuongoka

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وقالوا ياأيها الساحر ادع لنا ربك بما عهد عندك إننا لمهتدون, باللغة السواحيلية

﴿وقالوا ياأيها الساحر ادع لنا ربك بما عهد عندك إننا لمهتدون﴾ [الزُّخرُف: 49]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Fir’awn na viongozi wa utawala wake wakasema kumwambia Mūsā, ”Ewe mjuzi! (Na mchawi alikuwa kwao ni mtu mkubwa wanayemheshimu, na haukuwa uchawi ni sifa ya mtu kutukanika), ’Tuombee Mola wako, kwa ile ahadi Aliyokuahidi na yale matukufu Aliyokutunukia wewe mahsusi, Atuepushie adhabu, kwani tukiepushiwa adhabu, kwa hakika sisi ni wenye kuongoka na kuayaamini yale uliotujia nayo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek