Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 51 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿وَنَادَىٰ فِرۡعَوۡنُ فِي قَوۡمِهِۦ قَالَ يَٰقَوۡمِ أَلَيۡسَ لِي مُلۡكُ مِصۡرَ وَهَٰذِهِ ٱلۡأَنۡهَٰرُ تَجۡرِي مِن تَحۡتِيٓۚ أَفَلَا تُبۡصِرُونَ ﴾
[الزُّخرُف: 51]
﴿ونادى فرعون في قومه قال ياقوم أليس لي ملك مصر وهذه الأنهار﴾ [الزُّخرُف: 51]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Fir’awn aliita mbele ya wakubwa wa watu wake kwa kujigamba na kujisifu kwa ufalme wa Misri, «Je, kwani mimi sina ufalme wa Misri na mito hii inayopita chini yangu? Kwani hamuoni utukufu wangu na nguvu zangu na unyonge wa Mūsā na umasikini wake |