Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 56 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿فَجَعَلۡنَٰهُمۡ سَلَفٗا وَمَثَلٗا لِّلۡأٓخِرِينَ ﴾
[الزُّخرُف: 56]
﴿فجعلناهم سلفا ومثلا للآخرين﴾ [الزُّخرُف: 56]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Tukawafanya hao tuliowazamisha baharini kuwa ni mfano uliotangulia kwa anayefanya matendo kama yao katika wale watakaokuja baada yao kwa kustahiki adhabu, na ni mazingatio na mawaidha kwa watu wa nyuma |