×

Lakini makundi kwa makundi yao yalikhitalifiana wao kwa wao. Ole wao walio 43:65 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Az-Zukhruf ⮕ (43:65) ayat 65 in Swahili

43:65 Surah Az-Zukhruf ayat 65 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 65 - الزُّخرُف - Page - Juz 25

﴿فَٱخۡتَلَفَ ٱلۡأَحۡزَابُ مِنۢ بَيۡنِهِمۡۖ فَوَيۡلٞ لِّلَّذِينَ ظَلَمُواْ مِنۡ عَذَابِ يَوۡمٍ أَلِيمٍ ﴾
[الزُّخرُف: 65]

Lakini makundi kwa makundi yao yalikhitalifiana wao kwa wao. Ole wao walio dhulumu kwa adhabu ya siku chungu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فاختلف الأحزاب من بينهم فويل للذين ظلموا من عذاب يوم أليم, باللغة السواحيلية

﴿فاختلف الأحزاب من بينهم فويل للذين ظلموا من عذاب يوم أليم﴾ [الزُّخرُف: 65]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hapo makundi ya watu yakatafautiana kuhusu jambo la Īsā, amani imshukie, na wakawa mapote: kati yao kuna waliokubali kuwa yeye ni mja wa Mwenyezi Mungu na ni Mtume Wake, na hiyo ndio kauli ya kweli, na kati yao kuna wanaodai kuwa yeye ni mwana wa Mwenyezi Mungu , na kati yao kuna wanaosema kwamba yeye ni Mwenyezi Mungu, Ametukuka Mwenyezi Mungu kutukuka kukubwa na kutakasika na neno lao hilo. Basi maangamivu na adhabu kali Siku ya Kiyama ni yenye kuwapata wale waliomsifu Īsā kwa sifa ambazo sizo zile Mwenyezi Mungu Alizomsifu nazo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek