Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 82 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿سُبۡحَٰنَ رَبِّ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ رَبِّ ٱلۡعَرۡشِ عَمَّا يَصِفُونَ ﴾
[الزُّخرُف: 82]
﴿سبحان رب السموات والأرض رب العرش عما يصفون﴾ [الزُّخرُف: 82]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kuepukana na kila sifa ya upungufu na kutakasika ni kwa Mola wa mbingu na ardhi, Mola wa ’Arsh kubwa, na kuwa mbali na urongo na uzushi wanaomzulia washirikina ya kuwa Mwenyezi Mungu Ana mwana na mengineyo ya ubatilifu wanayodai |