×

Sema: Ingeli kuwa Rahmani ana mwana, basi mimi ningeli kuwa wa kwanza 43:81 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Az-Zukhruf ⮕ (43:81) ayat 81 in Swahili

43:81 Surah Az-Zukhruf ayat 81 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 81 - الزُّخرُف - Page - Juz 25

﴿قُلۡ إِن كَانَ لِلرَّحۡمَٰنِ وَلَدٞ فَأَنَا۠ أَوَّلُ ٱلۡعَٰبِدِينَ ﴾
[الزُّخرُف: 81]

Sema: Ingeli kuwa Rahmani ana mwana, basi mimi ningeli kuwa wa kwanza kumuabudu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قل إن كان للرحمن ولد فأنا أول العابدين, باللغة السواحيلية

﴿قل إن كان للرحمن ولد فأنا أول العابدين﴾ [الزُّخرُف: 81]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Sema, ewe mtume, uwaambie washirikina wa watu wako wanaodai kuwa Malaika ni watoto wa kike wa Mwenyezi Mungu, «Iwapo Mwingi wa rehema Alikuwa na mtoto, kama vile mnavyodai, lakini hili halikuwa wala halitakuwa, basi mimi ni wa mwanzo kumuabudu mtoto huyo mnaodai, Ametakasika Mwenyezi Mungu na kuwa na mke na mtoto.”
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek