Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 84 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿وَهُوَ ٱلَّذِي فِي ٱلسَّمَآءِ إِلَٰهٞ وَفِي ٱلۡأَرۡضِ إِلَٰهٞۚ وَهُوَ ٱلۡحَكِيمُ ٱلۡعَلِيمُ ﴾
[الزُّخرُف: 84]
﴿وهو الذي في السماء إله وفي الأرض إله وهو الحكيم العليم﴾ [الزُّخرُف: 84]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Yeye Ndiye Mwenyezi Mungu, Peke Yake, Anayeabudiwa kwa haki, mbinguni na ardhini, na Yeye Ndiye Mwingi wa hekima Aliyeimarisha kuumba Kwake na kuitengeneza Sheria Yake, Mwenye ujuzi wa kila kitu kuhusu hali ya viumbe Vyake. Hakuna chochote kinachofichamana katika hivyo |