Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 40 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿إِنَّ يَوۡمَ ٱلۡفَصۡلِ مِيقَٰتُهُمۡ أَجۡمَعِينَ ﴾
[الدُّخان: 40]
﴿إن يوم الفصل ميقاتهم أجمعين﴾ [الدُّخان: 40]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika Siku ya Uamuzi baina ya viumbe kwa waliyoyatanguliza katika dunia yao, ya kheri na ya shari, ndio wakati wa mkusanyiko wao wote |