Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 53 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿يَلۡبَسُونَ مِن سُندُسٖ وَإِسۡتَبۡرَقٖ مُّتَقَٰبِلِينَ ﴾
[الدُّخان: 53]
﴿يلبسون من سندس وإستبرق متقابلين﴾ [الدُّخان: 53]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Watakuwa wamevaa dibaji nyororo, hali ya kuwa wameelekeana kwa nyuso. Na hawatakuwa wakiangaliana visogo. Makao yao yatakuwa yakizunguka nao pale wanapozunguka |