Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 54 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿كَذَٰلِكَ وَزَوَّجۡنَٰهُم بِحُورٍ عِينٖ ﴾
[الدُّخان: 54]
﴿كذلك وزوجناهم بحور عين﴾ [الدُّخان: 54]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kama tutakavyowapa huko Akhera takrima ya kuwaingiza Peponi na kuwavisha hariri nzito na hariri yenye mng’aro, vilevile tutawakirimu kwa kuwaoza wanawake wazuri wenye macho makubwa ya kupendeza |