Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 6 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿رَحۡمَةٗ مِّن رَّبِّكَۚ إِنَّهُۥ هُوَ ٱلسَّمِيعُ ٱلۡعَلِيمُ ﴾
[الدُّخان: 6]
﴿رحمة من ربك إنه هو السميع العليم﴾ [الدُّخان: 6]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hilo likiwa ni rehema kutoka kwa Mola wako, ewe Mtume, kuwafikia wale wenye kutumilizwa. Hakika Yeye ni Msikizi, Anasikia sauti zote, ni Mjuzi wa mambo yote ya waja Wake yaliyojitokeza nje na yanayofichika |