Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 7 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿رَبِّ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ وَمَا بَيۡنَهُمَآۖ إِن كُنتُم مُّوقِنِينَ ﴾
[الدُّخان: 7]
﴿رب السموات والأرض وما بينهما إن كنتم موقنين﴾ [الدُّخان: 7]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Muumba mbingu na ardhi na vitu vyote vilivyoko baina ya hivyo viwili. Iwapo nyinyi mna yakini na hilo, basi jueni kuwa Mola wa viumbe Ndiye Mola wa kweli |