Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 5 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿أَمۡرٗا مِّنۡ عِندِنَآۚ إِنَّا كُنَّا مُرۡسِلِينَ ﴾
[الدُّخان: 5]
﴿أمرا من عندنا إنا كنا مرسلين﴾ [الدُّخان: 5]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mambo haya yaliyopangwa kimadhubuti ni amri inayotoka kwetu, kwani yote yanayokuwa na Anayokadiria Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, na wahyi Anaouleta, vyote hivyo vinatokana na amri Yake na idhini Yake na ujuzi Wake. Hakika sisi tumetumiliza Mitume, Muhammad na waliokuwa kabla yake, kwa watu |