Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 8 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿لَآ إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ يُحۡيِۦ وَيُمِيتُۖ رَبُّكُمۡ وَرَبُّ ءَابَآئِكُمُ ٱلۡأَوَّلِينَ ﴾
[الدُّخان: 8]
﴿لا إله إلا هو يحيي ويميت ربكم ورب آبائكم الأولين﴾ [الدُّخان: 8]
Abdullah Muhammad Abu Bakr hakuna Mola anayestahiki kuabudiwa isipokuwa Yeye, Peke Yake, Asiye na mshirika, Anayehuisha na kufisha, Mola wenu na Mola wa baba zenu wa mwanzo, basi muabuduni Yeye, na sio waungu wenu ambao hawawezi kudhuru wala kunufaisha |