×

Kisha tukakuweka wewe juu ya Njia ya haya mambo, basi ifuate, wala 45:18 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Jathiyah ⮕ (45:18) ayat 18 in Swahili

45:18 Surah Al-Jathiyah ayat 18 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Jathiyah ayat 18 - الجاثِية - Page - Juz 25

﴿ثُمَّ جَعَلۡنَٰكَ عَلَىٰ شَرِيعَةٖ مِّنَ ٱلۡأَمۡرِ فَٱتَّبِعۡهَا وَلَا تَتَّبِعۡ أَهۡوَآءَ ٱلَّذِينَ لَا يَعۡلَمُونَ ﴾
[الجاثِية: 18]

Kisha tukakuweka wewe juu ya Njia ya haya mambo, basi ifuate, wala usifuate matamanio ya wasio jua kitu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ثم جعلناك على شريعة من الأمر فاتبعها ولا تتبع أهواء الذين لا, باللغة السواحيلية

﴿ثم جعلناك على شريعة من الأمر فاتبعها ولا تتبع أهواء الذين لا﴾ [الجاثِية: 18]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Kisha tukakufanya, ewe Mtume, uwe kwenye njia iliyofunuka wazi kuhusu jambo la Dini. Basi fuata Sheria ambayo Mwenyezi Mungu Amekupatia, na usifuate matamanio ya wajinga wa Sheria ya Mwenyezi Mungu, wasiojua haki. Katika hii aya kuna ushahidi mkubwa juu ya ukamilifu wa Dini hii na utukufu wake na ulazima wa kufuata hukumu zake na kutopotoka kuelemea kwenye matamanio ya makafiri na wapotofu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek