×

Hizi ni dalili zilizo wazi kwa watu wote, na ni uwongofu, na 45:20 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Jathiyah ⮕ (45:20) ayat 20 in Swahili

45:20 Surah Al-Jathiyah ayat 20 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Jathiyah ayat 20 - الجاثِية - Page - Juz 25

﴿هَٰذَا بَصَٰٓئِرُ لِلنَّاسِ وَهُدٗى وَرَحۡمَةٞ لِّقَوۡمٖ يُوقِنُونَ ﴾
[الجاثِية: 20]

Hizi ni dalili zilizo wazi kwa watu wote, na ni uwongofu, na rehema kwa watu wanao yakinisha

❮ Previous Next ❯

ترجمة: هذا بصائر للناس وهدى ورحمة لقوم يوقنون, باللغة السواحيلية

﴿هذا بصائر للناس وهدى ورحمة لقوم يوقنون﴾ [الجاثِية: 20]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hii Qur’ani tuliyokuteremshia, ewe Mtume, ni miangaza ya watu kuiona haki na kuipambanua na batili, na kuijua kwayo njia ya usawa, na ni uongofu na rehema kwa watu wenye kuwa na Imani ya yakini juu ya uhakika wa usahihi wake, na kwamba hiyo ni teremsho kutoka kwa Mshindi Mwenye hekima
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek