×

Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye ufalme wa mbingu na ardhi. Na siku 45:27 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Jathiyah ⮕ (45:27) ayat 27 in Swahili

45:27 Surah Al-Jathiyah ayat 27 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Jathiyah ayat 27 - الجاثِية - Page - Juz 25

﴿وَلِلَّهِ مُلۡكُ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِۚ وَيَوۡمَ تَقُومُ ٱلسَّاعَةُ يَوۡمَئِذٖ يَخۡسَرُ ٱلۡمُبۡطِلُونَ ﴾
[الجاثِية: 27]

Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye ufalme wa mbingu na ardhi. Na siku itapo simama Saa ya Kiyama, siku hiyo wataangamia wenye kushikamana na upotovu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولله ملك السموات والأرض ويوم تقوم الساعة يومئذ يخسر المبطلون, باللغة السواحيلية

﴿ولله ملك السموات والأرض ويوم تقوم الساعة يومئذ يخسر المبطلون﴾ [الجاثِية: 27]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Ni ya Mwenyezi Mungu, Aliyetakasika, mamlaka ya mbingu saba na ardhi kwa kuziumba, kuzimiliki na kuwa ziko chini ya amri Yake. Na siku Kiyama kitakapokuja ambapo wafu watafufuliwa kutoka kwenye makaburi yao na watahesabiwa, hapo watapata hasara wale waliomkanusha Mwenyezi Mungu na kukataa kile Alichomteremshia Mtume Wake miongoni mwa aya zilizbainika na dalili zilizofunuka wazi
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek