×

Hichi kitabu chetu kinasema juu yenu kwa haki. Hakika Sisi tulikuwa tukiyaandika 45:29 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Jathiyah ⮕ (45:29) ayat 29 in Swahili

45:29 Surah Al-Jathiyah ayat 29 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Jathiyah ayat 29 - الجاثِية - Page - Juz 25

﴿هَٰذَا كِتَٰبُنَا يَنطِقُ عَلَيۡكُم بِٱلۡحَقِّۚ إِنَّا كُنَّا نَسۡتَنسِخُ مَا كُنتُمۡ تَعۡمَلُونَ ﴾
[الجاثِية: 29]

Hichi kitabu chetu kinasema juu yenu kwa haki. Hakika Sisi tulikuwa tukiyaandika mliyo kuwa mkiyatenda

❮ Previous Next ❯

ترجمة: هذا كتابنا ينطق عليكم بالحق إنا كنا نستنسخ ما كنتم تعملون, باللغة السواحيلية

﴿هذا كتابنا ينطق عليكم بالحق إنا كنا نستنسخ ما كنتم تعملون﴾ [الجاثِية: 29]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
«Hiki ni Kitabu chetu kinatamka kuhusu matendo yenu yote, bila kuongeza wala kupunguza. Sisi tulikuwa tukiwaamrisha Watunzi wenye kudhibiti wayaandike matendo yenu.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek