×

Ama walio amini na wakatenda mema, Mola wao Mlezi atawatia katika rehema 45:30 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Jathiyah ⮕ (45:30) ayat 30 in Swahili

45:30 Surah Al-Jathiyah ayat 30 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Jathiyah ayat 30 - الجاثِية - Page - Juz 25

﴿فَأَمَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ فَيُدۡخِلُهُمۡ رَبُّهُمۡ فِي رَحۡمَتِهِۦۚ ذَٰلِكَ هُوَ ٱلۡفَوۡزُ ٱلۡمُبِينُ ﴾
[الجاثِية: 30]

Ama walio amini na wakatenda mema, Mola wao Mlezi atawatia katika rehema yake. Huko ndiko kufuzu kulio wazi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فأما الذين آمنوا وعملوا الصالحات فيدخلهم ربهم في رحمته ذلك هو الفوز, باللغة السواحيلية

﴿فأما الذين آمنوا وعملوا الصالحات فيدخلهم ربهم في رحمته ذلك هو الفوز﴾ [الجاثِية: 30]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Ama wale waliomuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake duniani, wakafuata amri Zake na wakajiepusha makatazo Yake, hao Atawatia Mola wao kwenye Pepo Yake kwa rehema Zake. Kuingia huko ndiko kufaulu kuliko wazi ambako hakuna kufaulu kupita huko
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek