Quran with Swahili translation - Surah Al-Jathiyah ayat 36 - الجاثِية - Page - Juz 25
﴿فَلِلَّهِ ٱلۡحَمۡدُ رَبِّ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَرَبِّ ٱلۡأَرۡضِ رَبِّ ٱلۡعَٰلَمِينَ ﴾
[الجاثِية: 36]
﴿فلله الحمد رب السموات ورب الأرض رب العالمين﴾ [الجاثِية: 36]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi ni za Mwenyezi Mungu, kutakasika ni Kwake na kutukuka ni Kwake, Peke Yake, shukrani zote kwa neema Zake zisizohesabika kwa viumbe Vyake, Mola wa mbingu na ardhi na Mwenye kuziumba na kuziendesha, Mola wa viumbe Wote |