×

Na ukubwa ni wake Yeye tu, mbinguni na katika ardhi, naye ni 45:37 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Jathiyah ⮕ (45:37) ayat 37 in Swahili

45:37 Surah Al-Jathiyah ayat 37 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Jathiyah ayat 37 - الجاثِية - Page - Juz 25

﴿وَلَهُ ٱلۡكِبۡرِيَآءُ فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِۖ وَهُوَ ٱلۡعَزِيزُ ٱلۡحَكِيمُ ﴾
[الجاثِية: 37]

Na ukubwa ni wake Yeye tu, mbinguni na katika ardhi, naye ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وله الكبرياء في السموات والأرض وهو العزيز الحكيم, باللغة السواحيلية

﴿وله الكبرياء في السموات والأرض وهو العزيز الحكيم﴾ [الجاثِية: 37]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na ni wake Peke Yake utukufu, haiba, enzi, utawala, uweza na ukamilifu, mbinguni na ardhini. Na Yeye Ndiye Mshindi Asiyekuwa na mshindani mwenye kushindana na Yeye, Mwingi wa hekima katika maneno Yake, vitendo Vyake, upangaji Wake na Sheria Zake, Ametukuka na kutakasika, hapana Mola isipokuwa Yeye
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek