Quran with Swahili translation - Surah Al-Ahqaf ayat 13 - الأحقَاف - Page - Juz 26
﴿إِنَّ ٱلَّذِينَ قَالُواْ رَبُّنَا ٱللَّهُ ثُمَّ ٱسۡتَقَٰمُواْ فَلَا خَوۡفٌ عَلَيۡهِمۡ وَلَا هُمۡ يَحۡزَنُونَ ﴾
[الأحقَاف: 13]
﴿إن الذين قالوا ربنا الله ثم استقاموا فلا خوف عليهم ولا هم﴾ [الأحقَاف: 13]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika wale waliosema, “Mola wetu ni Mwenyezi Mungu” kisha wakalingana sawa katika kumuamini, basi hao hawatakuwa na khofu ya babaiko la Siku ya Kiyama na vituko vyake, wala hawatasikitka juu ya hadhi za duniani walizoziacha nyuma yao |