Quran with Swahili translation - Surah Al-Ahqaf ayat 14 - الأحقَاف - Page - Juz 26
﴿أُوْلَٰٓئِكَ أَصۡحَٰبُ ٱلۡجَنَّةِ خَٰلِدِينَ فِيهَا جَزَآءَۢ بِمَا كَانُواْ يَعۡمَلُونَ ﴾
[الأحقَاف: 14]
﴿أولئك أصحاب الجنة خالدين فيها جزاء بما كانوا يعملون﴾ [الأحقَاف: 14]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hao ni wa watu wa Peponi, watakaa humo milele kwa rehema za Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, juu yao , na kwa yale waliyoyatanguliza ya matendo mema katika dunia yao |