Quran with Swahili translation - Surah Muhammad ayat 1 - مُحمد - Page - Juz 26
﴿ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ وَصَدُّواْ عَن سَبِيلِ ٱللَّهِ أَضَلَّ أَعۡمَٰلَهُمۡ ﴾
[مُحمد: 1]
﴿الذين كفروا وصدوا عن سبيل الله أضل أعمالهم﴾ [مُحمد: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wale waliokataa kwamba Mwenyezi Mungu Ndiye Peke Yake Mungu wa kweli Asiye na mshirika, na wakawazuia watu na Dini Yake, Mwenyezi Mungu Atazifuta amali zao na kuzipomosha na Atawapa usumbufu kwa sababu ya amali zao hizo |