Quran with Swahili translation - Surah Muhammad ayat 37 - مُحمد - Page - Juz 26
﴿إِن يَسۡـَٔلۡكُمُوهَا فَيُحۡفِكُمۡ تَبۡخَلُواْ وَيُخۡرِجۡ أَضۡغَٰنَكُمۡ ﴾
[مُحمد: 37]
﴿إن يسألكموها فيحفكم تبخلوا ويخرج أضغانكم﴾ [مُحمد: 37]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Akiwa Atawataka myatoe mali yenu na Akawa Atawakariria na kuwasumbua, mtayafanyia uchoyo na mtakataa kuyatoa, na hapo Atakapowataka myatoe mali yenu Atayatoa nje machukivu yaliyo ndani ya nyoyo zenu |