Quran with Swahili translation - Surah Al-Fath ayat 14 - الفَتح - Page - Juz 26
﴿وَلِلَّهِ مُلۡكُ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِۚ يَغۡفِرُ لِمَن يَشَآءُ وَيُعَذِّبُ مَن يَشَآءُۚ وَكَانَ ٱللَّهُ غَفُورٗا رَّحِيمٗا ﴾
[الفَتح: 14]
﴿ولله ملك السموات والأرض يغفر لمن يشاء ويعذب من يشاء وكان الله﴾ [الفَتح: 14]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ni ya Mwenyezi Mungu mamlaka ya mbingu na ardhi na vilivyoko baina ya hivyo viwili, Anamsamehe, kwa rehema Zake, Anayemtaka Akamfinikia dhambi zake, na Anamuadhibu, kwa uadilifu Wake, Anayemtaka. Na Mwenyezi Mungu, kutakasika na kutukuka ni Kwake, ni Mwingi wa kusamehe kwa anayetubia Kwake, ni Mwingi huruma kwake |