×

Enyi mlio amini! Msitangulie mbele ya Mwenyezi Mungu na Mtume wake, na 49:1 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-hujurat ⮕ (49:1) ayat 1 in Swahili

49:1 Surah Al-hujurat ayat 1 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-hujurat ayat 1 - الحُجُرَات - Page - Juz 26

﴿يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ لَا تُقَدِّمُواْ بَيۡنَ يَدَيِ ٱللَّهِ وَرَسُولِهِۦۖ وَٱتَّقُواْ ٱللَّهَۚ إِنَّ ٱللَّهَ سَمِيعٌ عَلِيمٞ ﴾
[الحُجُرَات: 1]

Enyi mlio amini! Msitangulie mbele ya Mwenyezi Mungu na Mtume wake, na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ياأيها الذين آمنوا لا تقدموا بين يدي الله ورسوله واتقوا الله إن, باللغة السواحيلية

﴿ياأيها الذين آمنوا لا تقدموا بين يدي الله ورسوله واتقوا الله إن﴾ [الحُجُرَات: 1]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Enyi mliomuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake msiamue jambo la Sheria za Dini yenu kinyume cha maamuzi ya Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, mkaingia kwenye uzushi. Na muogopeni Mwenyezi Mungu katika maneno yenu na vitendo vyenu, isije amri ya Mwenyezi Mungu na Mtume Wake ikaendewa kinyume. Hakika Mwenyezi Mungu ni Msikizi wa maneno yenu , ni Mjuzi wa nia zenu na vitendo vyenu. Hapa pana onyo kwa Waumini wasifanye uzushi katika Dini au kuleta sheria ambazo Mwenyezi Mungu Hakuziruhusu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek