×

Kwa hakika wanao teremsha sauti zao mbele ya Mtume wa Mwenyezi Mungu, 49:3 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-hujurat ⮕ (49:3) ayat 3 in Swahili

49:3 Surah Al-hujurat ayat 3 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-hujurat ayat 3 - الحُجُرَات - Page - Juz 26

﴿إِنَّ ٱلَّذِينَ يَغُضُّونَ أَصۡوَٰتَهُمۡ عِندَ رَسُولِ ٱللَّهِ أُوْلَٰٓئِكَ ٱلَّذِينَ ٱمۡتَحَنَ ٱللَّهُ قُلُوبَهُمۡ لِلتَّقۡوَىٰۚ لَهُم مَّغۡفِرَةٞ وَأَجۡرٌ عَظِيمٌ ﴾
[الحُجُرَات: 3]

Kwa hakika wanao teremsha sauti zao mbele ya Mtume wa Mwenyezi Mungu, hao ndio Mwenyezi Mungu amezisafisha nyoyo zao kwa uchamngu. Hao watakuwa na maghfira na ujira mkubwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إن الذين يغضون أصواتهم عند رسول الله أولئك الذين امتحن الله قلوبهم, باللغة السواحيلية

﴿إن الذين يغضون أصواتهم عند رسول الله أولئك الذين امتحن الله قلوبهم﴾ [الحُجُرَات: 3]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakika wale wanaoziteremsha sauti zao chini mbele ya Mtume wa Mwenyezi Mungu , hao ni wale ambao Mwenyezi Mungu Amewatahini nyoyo zao na Akazitakasa kwa uchamungu wake, watapata msamaha wa dhambi zao kutoka kwa Mola wao na malipo mema mengi, nayo ni Pepo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek