×

Hakika walio kufuru lau wange kuwa na yote yaliyomo duniani, na mengine 5:36 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Ma’idah ⮕ (5:36) ayat 36 in Swahili

5:36 Surah Al-Ma’idah ayat 36 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma’idah ayat 36 - المَائدة - Page - Juz 6

﴿إِنَّ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ لَوۡ أَنَّ لَهُم مَّا فِي ٱلۡأَرۡضِ جَمِيعٗا وَمِثۡلَهُۥ مَعَهُۥ لِيَفۡتَدُواْ بِهِۦ مِنۡ عَذَابِ يَوۡمِ ٱلۡقِيَٰمَةِ مَا تُقُبِّلَ مِنۡهُمۡۖ وَلَهُمۡ عَذَابٌ أَلِيمٞ ﴾
[المَائدة: 36]

Hakika walio kufuru lau wange kuwa na yote yaliyomo duniani, na mengine kama hayo, ili watoe fidia ya kuepukana na adhabu ya Siku ya Kiyama, yasingeli pokelewa kwao; na watapata adhabu chungu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إن الذين كفروا لو أن لهم ما في الأرض جميعا ومثله معه, باللغة السواحيلية

﴿إن الذين كفروا لو أن لهم ما في الأرض جميعا ومثله معه﴾ [المَائدة: 36]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakika wale walioukanusha upweke wa Mwenyezi Mungu na sheria Yake, lau walikuwa wao wamemiliki vyote vilivyoko ardhini na wakavimiliki vyingine mfano wake, na wakataka kuzikomboa nafsi zao, Siku ya Kiyama, na adhabu ya Mwenyezi Mungu kwa hivyo walivyovimiliki, Mwenyezi Mungu Hangalikubali hilo. Na itawapata wao adhabu yenye kuumiza
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek