Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma’idah ayat 74 - المَائدة - Page - Juz 6
﴿أَفَلَا يَتُوبُونَ إِلَى ٱللَّهِ وَيَسۡتَغۡفِرُونَهُۥۚ وَٱللَّهُ غَفُورٞ رَّحِيمٞ ﴾
[المَائدة: 74]
﴿أفلا يتوبون إلى الله ويستغفرونه والله غفور رحيم﴾ [المَائدة: 74]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mbona Wanaswara hawa hawarudi kwa Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, na wakatubia kwa waliyoyasema na wakamuomba msamaha Mwenyezi Mungu Aliyetukuka? Kwani Mwenyezi Mungu , Aliyetukuka, ni Mwenye kuyasamehe madhambi ya wenye kutubia, ni Mwenye huruma kwao |